• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu mpya wa Palestina ataka kuanzisha serikali mapema kupitia mashauriano

    (GMT+08:00) 2019-03-11 08:49:25

    Waziri mkuu wa Palestina aliyeteuliwa hivi karibuni ameeleza matumaini ya kuanzisha serikali yake mapema kwa kufanya majadiliano na watu wa sekta mbalimbali, na wale wenye ushawishi katika jamii na siasa nchini humo. Bw. Mohammad Shtayyeh ametoa kauli hiyo baada ya kupewa barua ya uteuzi kutoka rais Mahmoud Abbas kuanzisha serikali mpya. Amesema anatambua ipasavyo hali ya kisiasa, kiuchumi na kifedha ya Palestina, na ameahidi kulinda taifa la Palestina yenye mamlaka na uhuru, likiwa na mji mkuu Jerusalem chini ya mipaka ya mwaka 1967.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako