• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shambulizi la anga la Saudi Arabia lawaua watu 21 kaskazini magharibi mwa Yemen

    (GMT+08:00) 2019-03-11 08:49:47

    Shirika la habari la Saba linalodhibitiwa na waasi, limeripoti kuwa wanawake wasiopungua 20 na mtoto mmoja waliuawa Jumapili katika shambulizi la anga lililoongozwa na Saudi Arabia katika mkoa wa Hajjah, kaskazini mashariki mwa Yemen. Shambulizi hilo lililenga nyumba moja inayotumiwa na wanawake kujificha na kuepuka mapigano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako