• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Trump ataka dola bilioni 8.6 kwa ajili ya ukuta wa mpakani katika bajeti mpya

    (GMT+08:00) 2019-03-11 08:50:08

    Rais Donald Trump wa Marekani anatarajiwa kuomba dola za kimarekani bilioni 8.6 kwa ajili ya ujenzi wa ukuta wa mpakani katika pendekezo la bajeti atakalotoa hivi karibuni. Ripoti mbalimbali zinasema Ikulu ya Marekani inatarajiwa kutangaza pendekezo lake la bajeti kwa mwaka wa fedha wa 2020. Kwa mujibu wa serikali ya Marekani, fedha hizo zitatumiwa kujenga uzio wenye urefu wa kilomita 1,127 katika mpaka kati ya Marekani na Mexico.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako