• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa salamu za pole kufuatia ajali ya ndege ya Ethiopia

    (GMT+08:00) 2019-03-11 09:27:20

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Bw. Lu Kang amesema China inatoa rambirambi kwa familia za wafiwa wa ajali ya kuanguka kwa ndege ya Shirika la ndege la Ethiopia, na inatarajia kuwa Ethiopia itachunguza haraka chanzo cha ajali, na kuiarifu China kwa wakati kuhusu maendeleo ya uchunguzi. Amesema wizara ya mambo ya nje ya China na ubalozi wa China nchini Ethiopia wataendelea kufuatilia maendeleo na kutoa msaada kwa familia za wahanga wa China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako