• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ubingwa wa IBF Australia, Mtanzania atwaa ubingwa

    (GMT+08:00) 2019-03-11 09:33:51
    Bondia mtanzania Bruno Tarimoaka vifua viwili, ameibuka bingwa wa kimataifa wa mkanda wa shirikisho la vyama vya masumbwi duniani baada ya kumchapa Joel Brunker wa Australia.

    Katika pambano hilo lililopigwa usiku wa kuamkia jumapili, Bruno aliibuka mshindi kwa alama za majaji wote watatu baada ya mabondia hao kumaliza raundi ya 12.

    Kabla ya pambano hilo lililopigwa kwenye ukumbi wa Windsor jijini New South Wales, Bruno alicheza kwa kiwango bora na kufanikiwa kumdhibiti mpinzani wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako