• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya Kakamega Sevens yaongezwa katika ligi ya Taifa

    (GMT+08:00) 2019-03-11 09:34:29
    Timu ya Kakamega sevens imejumuishwa kwenye ligi ya raga ya taifa ya wachezaji saba kila upande. Kakamega inaingia katika mashindano hayo yanayofanyika kila mwaka tangu mwaka 1999, imechukua nafasi ya timu ya Sepetuka Sevens ambayo imeondolewa kwenye ligi hiyo.

    Ligi hiyo inatarajiwa kuanza Julai 20 na kupumzika Agosti 3-4, kasha kuendelea tena hadi Septemba 7-8.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako