• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atoa salamu za rambirambi kwa marais wa Ethiopia na Kenya kutokana na ajali ya ndege ya Ethiopia

    (GMT+08:00) 2019-03-11 19:37:00

    Rais Xi Jinping wa China leo kwa nyakati tofauti ametoa salamu za rambirambi kwa rais wa Ethiopia Bibi Sahle-Work Zewde na rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kutokana na ajali ya ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia iliyosababisha vifo vya watu 157.

    Pia kwa niaba ya serikali na watu wa China na yeye binafsi, rais Xi ametoa salamu za rambirambi kwa ndugu na jamaa za marehemu na kusisitiza kuwa, serikali ya China iko tayari kutoka misaada ya lazima endapo itatakiwa kufanya hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako