• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Dk. Mwakyembe awalipua viongozi TFF

    (GMT+08:00) 2019-03-12 08:02:46
    Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Tanzania Dkt. Harrison Mwakyembe, amewashangaa viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kushindwa kuhudhuria na kuvumbua vipaji katika michuano ya Majeshi iliyofikia tamati mwishoni mwa wiki, uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

    Dkt. Mwakyembe amesema ni aibu kwa viongozi wa TFF ambao ni baba wa soka nchini humo kushindwa kujitokeza katika michuano hiyo ambayo alidai kwa upande wa soka vilionekana vipaji vingi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako