• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi ya mabingwa Afrika- Simba yataja viingilio mechi na AS Vita

    (GMT+08:00) 2019-03-12 08:02:52
    Klabu ya Simba imetaja viingilio vya mchezo wake wa mwisho wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Jumamosi wiki hii Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.

    Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC, Hajji Sunday Manara amesema kwamba kiingilio cha chini katika mchezo huo kitakuwa ni Sh. 3,000 kwa majukwaa ya mzunguko.

    Manara amesema kwamba viingilio vingine ni Sh. 20,000 kwa VIP A, Sh. 10,000 kwa VIP B na Sh. 100,000 kwa tiketi maalum za Platinums.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako