• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • MASUMBWI: Mwakinyo aendelea kujifua Uingereza, pambano Machi 23

    (GMT+08:00) 2019-03-12 08:02:52
    Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo bado anaendelea kujifua nchini Uingereza katika jiji la Liverpool kwa ajili ya maandalizi ya pambano lake la ,achi 23 litakalofanyika nchini Kenya.

    Mwakinyo alijipatia umaarufu mwezi Septemba mwaka jana baada ya kumpiga bindia Muingereza Sam Eggungton kwa Techinical Knock Out raundi ya 2 pambano lililokuwa la raundi 10 na kupata udhamini wa SportPesa kama balozi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako