• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • MASUMBWI: Lewis aomba kurudia pambano na Tyson

    (GMT+08:00) 2019-03-12 08:02:52
    Bingwa wa zamani wa ngumi za uzito wa juu duniani, Lennox Lewis, ameweka wazi kuwa yupo tayari kurudi ulingoni kupambana na mpinzani wake, Mike Tyson, endapo atawekewa mezani kitita cha dola milioni 100. Bingwa huyo mara tatu wa heavyweight, aliwahi kupambana na Tyson na kufanikiwa kushinda kwa KO katika raundi ya nane huko mjini Memphis mwaka 2002.

    Tangu wawili hao wastaafu ngumi hadi sasa hakuna ambaye kati yao ameweza kurudi ulingoni kwa ajili ya pambano la kulipwa, hivyo wakifikia makubaliano tunaweza kuwaona tena wakipigana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako