• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Theresa May apata mabadiliko yanayobana kisheria ya makubaliano ya Brexit kabla ya upigaji kura muhimu

    (GMT+08:00) 2019-03-12 08:43:50

    Waziri mkuu wa Uingereza Bibi Theresa May amepata mabadiliko yanayobana kisheria ya makubaliano ya Brexit kabla ya upigaji kura muhimu bungeni kuhusu makubaliano hayo. Waziri wa ofisi ya Baraza la Mawaziri la Uingereza Bw. David Lidington ameliambia baraza la makabwela kuwa bunge litayapigia kura leo makubaliano hayo "yaliyoboreshwa". Amesema mabadiliko hayo yameongeza nguvu na kuboresha makubaliano ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya, na uhusiano kati ya pande hizo mbili katika siku za baadaye.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako