• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Wajasiriamali 30 wa Rwanda wapata mafunzo kutoka Alibaba

  (GMT+08:00) 2019-03-12 19:17:04

  Wajasiriamali 30 kutoka Rwanda wamepata mafunzo ya biashara kutoka kwa chuo cha mafunzo ya biashara cha kampuni ya Alibaba mjini Hanghzou nchini China.

  Mafunzo hayo yalihusu jinsi ya kupata uozefu wa kuendesha kwa ufanisi biashara ya mtandaoni.

  Yametolewa chini ya ushirikiano wa Alibaba na halmashauri ya maendeleo ya Rwanda.

  Mwaka jana Rwanda na alibaba zilisaini makubaliano ya kuwezesh bidhaa za Rwanda kama vile kahawa kuuzwa mtandaoni nchini China kupitia Alibaba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako