• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Matumuzi ya serikali ya Uganda januari yapanda

  (GMT+08:00) 2019-03-12 19:17:58
  Ripoti ya wizara ya fedha nchini Uganda imeonyesha kuwa serikali ilitumia shilingi bilioni 71 zaidi mwezi Januari kufadhili oparesheni zake.

  Mpango wa awali ulikuwa ni kutumia trilioni 1.287 lakini hadi mwishoni mwa Januari ilikuwa imetumia shilingi trilioni 215.

  Ripoti ya wizara hiyo inasema matumizi yamepita kwa asilimia 6 licha ya kuwa na upungufu kwenye ulipaji wa misharaha.

  Ulipaji wa misharaha ulikuwa shilingi bilioni 326 ambayo ni chini ya mpango wa bilionbi 370.

  Lakini hata hivyo ukusanyaji wa ushuru ulipungua kwa asilimia 10 mwezi Januari huku mamlaka husika ikipata mwanya wa shilingi bilioni 615.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako