• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi akutana na wajumbe kutoka jeshi la China

    (GMT+08:00) 2019-03-12 20:07:58

    Rais Xi Jinping wa China ameshiriki mkutano wa awali wa wajumbe kutoka Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (PLA) na jeshi la polisi.

    Rais Xi ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na pia Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi, amekutana na wajumbe hao wanaohudhuria mkutano wa Bunge la Umma la China unaoendelea hapa Beijing.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako