• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi ya mabingwa Ulaya- Bibi kizee wa Turin yapindua matokeo  hatua ya mwisho ya 16 bora, Man City yafanya mauaji

    (GMT+08:00) 2019-03-13 08:20:26
    Hatua ya mwisho ya 16 bora ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya, imepigwa jana kwa michezo miwili, Bibi kizee wa Turin Juventus imefanikiwa kupindua mateokeo kibabe kwa kuitandika Atletico Madrid kwa jumla ya mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa nchini Italia. Mabao yote ya Juve yamewekwa kimiani na Christiano Ronaldo dakika ya 27, 49 na 86 ya mchezo.

    Wakati huo huo, Manchester City wameimwagia mvua ta magoli Schalke 04 ya Ujerumani kwa mabao 7-0

    Tayari wiki iliyopita timu nne zilifanikiwa kutangulia hatua hiyo ya robo fainali, timu hizo ni Ajax, Tottenham, FC Porto na Man United, wakati huo Real Madrid, Borrusia Dortmund, AS Roma na PSG wakiyaaga mashindano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako