• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UM wasisitiza manufaa ya wanawake kujihusisha na siasa

    (GMT+08:00) 2019-03-13 09:37:06

    Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Bibi Maria Espinosa amesisitiza manufaa ya wanawake kujihusisha na siasa. Jana akiendesha hafla ya ngazi ya juu kuhusu kuwawezesha wanawake, moja ya mapendekezo yake muhimu katika kuhimiza usawa wa kijinsia tangu ashike wadhifa huo, bibi Espinosa amesema imethibitika kuwa usawa wa kijinsia na ushiriki wa wanawake kwenye mambo ya siasa vinaweza kuhimiza utulivu wa kisiasa na kusaidia kutoa nguvu kwa mamlaka. Ameongeza kuwa uwakilishi mkubwa wa wanawake bungeni, unaweza kuhakikisha kuwa mageuzi ya sheria za kibaguzi yanaweza kuendelea na pia unaweza kuongeza uwekezaji katika nyanja muhimu kama vile matibabu ya afya, elimu na ulinzi wa kijamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako