• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa wito kwa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya kushirikiana kulinda ushirikiano wa kimataifa

    (GMT+08:00) 2019-03-13 09:37:31

    Balozi mdogo na mratibu wa kisiasa wa Tume ya Kudumu ya China kwenye Umoja wa Mataifa Bw. Yao Shaojun ametoa wito kwa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya kushirikiana kulinda sera ya pande nyingi. Amesema sera ya pande nyingi inahitajika zaidi katika dunia ya leo, wakati sera ya upande mmoja na vitendo vya kujilinda vinaongezeka, na utaratibu wa kimataifa na mfumo wa usimamizi duniani unakabiliwa na changamoto. Ameongeza kuwa pande mbalimbali zinatakiwa kulinda mfumo wa kimataifa na utaratibu wa usalama wa pamoja, kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa na kuinua nafasi na msimamo wa Umoja huo katika masuala ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako