• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Nigeria lawaua watu 55 wenye silaha

    (GMT+08:00) 2019-03-13 09:37:55

    Msemaji wa jeshi la Nigeria amesema watu wasiopungua 55 wenye silaha waliuawa kwenye mapigano na jeshi la Nigeria kwenye jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.

    Msemaji wa jeshi la anga la Nigeria Bw. Clement Abiade amewaambia waandishi wa habari huko Gusau, mji mkuu wa Zamfara, kuwa watu wengine 24 wenye silaha wamekamatwa na kukabidhiwa kwa polisi kwa ajili ya kufunguliwa mashtaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako