• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanawake na watoto 22 wauawa katika mapambano Yemen

    (GMT+08:00) 2019-03-13 09:38:15

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa imesema watoto 12 na wanawake 10 wameuawa katika mapambano ya hivi karibuni, mkoani Hajjah, kaskazini magharibi mwa Yemen. Mratibu wa mambo ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen Lise Grande amekosoa mauaji na majeruhi hayo, na kutoa salamu za rambirambi kwa familia za wahanga. Hajjah ni sehemu inayoathiriwa zaidi na mapigano nchini Yemen, ambako watu zaidi ya milioni moja wana njaa na maelfu ya watu wanaripotiwa kukumbwa na ugonjwa wa kipindupindu mkoani humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako