• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Uchaguzi Yanga kaa la moto, mashabiki kumuona JPM

    (GMT+08:00) 2019-03-14 07:42:01
    Matawi ya klabu ya Yanga Dar es Salaam wamemuomba rais wa Tanzania John Magufuli kuwasaidia kuongea na baraza la michezo nchini humo (BMT) kuwaruhusu kufanya mkutano wa dharula.

    Mratibu wa matawi hayo Kaisi Mwasongwe amesema wanaamini mkutano huo ndio utatoa majibu ya sintofahamu inayoendelea kuhusu uchaguzi wa klabu hiyo.

    Amesema wanaamini rais Magufuli yupo kwa ajili ya wananchi wote kwakuwa ndio waliomchagua, na kwamba wamechoshwa na propaganda za wenye dhamana ya kusimamia michezo juu ya uchaguzi mkuu wa Yanga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako