• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi kuu ya soka la Ufukweni-Buza yaanza kwa kishindo

    (GMT+08:00) 2019-03-14 07:43:02
    Ushindi wa mabao 8-0 ambao timu ya Buza imepata dhidi ya Savannah Boys umeifanya timu hiyo ikae kileleni mwa ligi kuu ya soka la ufukweni iliyoanza jumamosi iliyopita.

    Buza inaongoza msimamo wa ligi hiyo kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa mbele ya timu za Tabata Souls, Friends Rangers, Six Home City na Friends of Mkwajuni ambazo nazo ziliibuka na ushindi kwenye mechi za raundi ya kwanza.

    Michezo mingine ya ligi hiyo itaendelea jumamosi na jumapili hii kwenye uwanja wa Karume, ligi hiyo inashirikisha jumla ya timu 12 kutoka maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako