• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 10 wauawa katika shambulizi la risasi katika shule ya Brazil

    (GMT+08:00) 2019-03-14 08:32:05

    Watu wasiopungua 10 wameuawa na wengine wengi wamejeruhiwa katika shambulizi la risasi lililotokea jana katika shule moja mjini Sao Paulo, Brazil. Kati ya watu hao waliouawa, kuna wanafunzi saba, mwanamke mmoja, na wapiga risasi wawili ambao walijiua papo hapo. Habari za awali zinasema watu wanane waliuawa lakini idadi ya vifo inaongezeka kutokana na baadhi ya watu kushindwa kunusurika kutokana na majeraha, baada ya majeruhi 17 kukimbizwa hospitali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako