• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wabunge wa Uingereza wakataa nchi hiyo kujitoa kutoka Umoja wa Ulaya mpaka kufikiwa  makubaliano na moja huo

    (GMT+08:00) 2019-03-14 10:52:53

    Wabunge wa Uingereza wamepiga kura na kuamua kuzuia nchi hiyo kujitoa Umoja wa Ulaya hadi makubaliano ya Brexit yatakapokubaliwa na umoja huo.

    Mpango wa Brexit bila ya makubaliano umekataliwa na wabunge, na kutoa pigo kubwa kwa waziri mkuu wa nchi hiyo Bi. Theresa May. Kabla ya hapo, makubaliano yaliyorekebishwa ya Brexit pia yalikataliwa na wabunge.

    Wabunge wa Uingereza wanatarajia kupiga kura za maoni tena kuhusu ombi la kuchelewesha muda wa mwisho wa Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya ambalo ulikuwa tarehe 30, Juni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako