• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Hatma ya Simba ipo mikononi mwao wenyewe kama wakiamua

    (GMT+08:00) 2019-03-15 07:48:21
    Kwa hesabu zilivyo katika kundi D la michuano ya ligi ya Mabingwa Afrika, kila timu inauwezo wa kusonga mbele endapo wakitumia vyema michezo yao ya mwisho inayochezwa kesho ambapo Simba ya Tanzania itaikaribisha AS Vita ya DRC jijini Dar es Salaam, huku Al Ahly wakiikaribisha JS Saoura mjini Alexandria Misri.

    Kutokana na hali hiyo, kama Simba watautumia vizuri uwanja wake wa nyumbani, tiketi ya robo fainali itawahusu, endapo itashinda, itafikisha alama 9 zitakazowapa nafasi ya kusonga mbele.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako