• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Klabu bingwa Ulaya hatua ya 16 bora mechi 8 zimepigwa jana

    (GMT+08:00) 2019-03-15 07:50:06
    Licha ya kuwa na kibarua kikubwa jana, Arsenal imefuzu hatua ya robo fainali baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Rennes katika mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya hatua ya 16 bora.

    mechi ya awali Arsenal walipoteza kwa mabao 3-1 wiki iliyopita dhidi ya club ya Rennes inayoaminika kuwa ya kawaida kutoka ligi ya Ufaransa.

    Kwingineko klabu ya Chelsea aka the blues imefanya mauaji kwa kuipiga mabao 5-0 Dynamo Kyiv. Nao Benfica imeshinda kwa goli 3-0 dhidi ya Dinamo Zagreb, FC Krasnodar imeilazimisha sare ya 1-1 Valencia, nayo Napoli imekubali kipigo cha 3-1 toka kwa Salzburg, huku Inter Milan ikifungwa goli 1-0 na Eintracht Frankfurt. Slavia Prague wao wameibamiza Sevilla bao 4-3 nao Villarreal ikiibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Zenith St. Petersburg.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako