• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanajeshi wawili wauawa katika mapambano na wanamgambo wa PKK kaskazini mwa Iraq

    (GMT+08:00) 2019-03-18 08:47:44

    Pambano lililotokea Jumapili kaskazini mwa Iraq limesababisha vifo vya wanajeshi wawili na wanamgambo watano wa chama cha wafanyakazi wa kikurdi PKK wamejeruhiwa. Mwanajeshi mmoja aliwataka wanamgambo hao wa PKK kuonyesha kibali chao cha kupita katika kituo cha ukaguzi kabla ya magari ya PKK kumparamia mwanajeshi huyo na kusababisha pambano hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako