• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping kufanya ziara nchini Italia, Monaco na Ufaransa

    (GMT+08:00) 2019-03-18 09:01:25

    Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang ametangaza kuwa, kutokana na mialiko ya rais Sergio Mattarella wa Italia, Mwana Mfalme Alber II wa Monaco na rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, rais Xi Jinping wa China atafanya ziara rasmi katika nchi hizo tatu kuanzia tarehe 21 hadi 26 mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako