• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Timu zilizofuzu robo fainali klabu bingwa Afrika

    (GMT+08:00) 2019-03-18 09:18:08

    Timu nyingine zilizifuzu hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Afrika ni kama ifuatavyo, kutoka kundi A ni Wydad Casablanca ya Morocco na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

    Kundi B ni Esperance ya Tunisia na Horoya FC ya Guniea, huku kundi C zikifuzu TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na CS Constantine ya Algeria.

    Droo kwa ajili ya upangaji mechi za hatua ya robo fainali inatarajiwa kufanyika Jumatano Machi 20 mjini Cairo na mechi za kwanza za hatua hiyo zitafanyika mwanzoni mwa mwezi Aprili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako