• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtuhumiwa wa shambulizi la risasi Uholanzi akamatwa

    (GMT+08:00) 2019-03-19 14:40:36

    Mtuhumiwa wa shambulizi la risasi lililosababisha vifo vya watu watatu na wengine watano kujeruhiwa katika treni ya umeme mjini Utrecht, Uholanzi amekamatwa. Kabla ya kukamatwa kwake, polisi wa Uholanzi walimtaja mtuhumiwa kuwa ni mwanaume anayetambulika kwa jina la Gokmen Tanis mwenye umri wa miaka 37, aliyezaliwa nchini Uturuki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako