• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapongeza mkutano kati ya India na Pakistan kujadili uzinduzi wa ushoroba wa hija

    (GMT+08:00) 2019-03-19 14:41:42

    China imepongeza mkutano kati ya India na Pakistan wa kujadili uzinduzi wa ushoroba wa hija wa Kartarpur. China inatarajia kuwa maendeleo husika yatasaidia kupunguza mivutano kati ya India na Pakistan na kuboresha hali ya kikanda. Habari zinasema mkutano wa kwanza kuhusu njia, na muswada wa makubaliano wa kutoa urahisi kwa mahujaji wa India kutembelea eneo la hija nchini Pakistan ulifanyika tarehe 14, Machi kwenye mpaka wa kimataifa wa Attari kati ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako