• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Wafanya biashara watakiwa kusafirisha bidhaa kwa treni

  (GMT+08:00) 2019-03-19 20:02:11
  Mamlaka ya bandari nchini Kenya imesema bidhaa zote zinazoagizwa kutoka nje ya nchi zisafirishe kwa kutumia reli ya kisasa SGR.

  Kaimu mkurungezi wa mamlaka hiyo Daniel Manduku amesema watu wote wanaoagiza sukari, mchele, chuma, nguo kuu kuu na bidhaa nyingine kusafirisha kwa treni hadi kwenye kituo cha Nairobi.

  Kontena moja ya futi 20 husafirishwa kwa dola 500 kwa treni kutoka Mombasa hadi mji mkuu Nairobi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako