• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndege za kivita za Israel zashambulia Gaza, watu wajeruhiwa katika mapambano na askari wa Israel

    (GMT+08:00) 2019-03-20 09:03:36

    Duru za usalama zimesema ndege za kivita za Israel zimefanya shambulizi la anga dhidi ya miundo ya kijeshi inayomilikuwa na kundi la Hamas lakini hakuna wahanga walioripotiwa. Wakati huohuo madaktari wamesema waandamanaji 13 wa Palestina walijeruhiwa jana usiku walipopambana na askari wa Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, karibu na mpaka wa Israel.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako