• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Jepkosgei atwaa taji baada ya kuwika mbio fupi za New York

    (GMT+08:00) 2019-03-20 09:38:29

    Mwanariadha wa kike wa Kenya Joyciline Jepkosgei amenyakua taji la mbio fupi za jijini New York City nchini Marekani zilizofanyika mwishoni mwa wikiendi iliyopita.

    Jepkosgei ameshinda taji jijini humo ambako Kenya haikuwa imetwaa taji la kinadada kwa miaka minne mfululizo. Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 25, ambaye anapanga kuanza kushindana katika mbio za kilomita 42 baadaye mwezi ujao, alikata utepe jijini New York kwa kutumia saa 1:10:07.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako