• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wazambia waomboleza kifo cha balozi baada ya ajali ya barabarani nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2019-03-21 09:28:31

    Watu wa Zambia wameeleza kuhuzunishwa na kushtushwa na kifo cha balozi wa nchi hiyo nchini Kenya kutokana na majeraha aliyoyapata katika ajali ya barabarani.

    Balozi wa Zambia nchini Kenya Bw. Brenda Muntemba na mwenzake kutoka Botswana Bw. Duke Lephoko walipata majeraha wakati gari lao lilipogongana na lori moja mashariki mwa Kenya wiki tatu zilizopita. Balozi huyo wenye umri wa miaka 49 alipatiwa matibabu katika hospitali huko Nairobi tangu hapo.

    Waziri wa mambo ya nje wa Zambia Bw. Joseph Malanji amethibitisha kutokea kwa kifo cha Bw. Muntemba kupitia taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako