• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • VOLIBOLI: Pipeline, Prisons zatinga robo fainali

    (GMT+08:00) 2019-03-21 10:16:51

    Wawakilishi wa Kenya katika mashindano ya klabu bingwa Afrika mchezo wa mpira wa wavu (Voliboli) upande wa wanawake, Kenya Pipeline na Kenya Prisons wametinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo yanayoendelea jijini Cairo Misri.

    Wawakilishi wengine toka Kenya timu ya KCB wananafasi ya kufuzu robo fainali ikiwa watawafunga mabingwa wa zamani timu ya Carthage ya Tunisia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako