• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Michezo ya kirafiki ya kimataifa, Argentina kukutana na Venezuela na Morocco

    (GMT+08:00) 2019-03-21 10:17:07

    Timu ya taifa ya Argentina itakutana na timu ya taifa ya Venezuela kesho ijumaa kabla ya kuivaa Morocco April 26 katika mechi za kirafiki huku Lionel Messi akifanya mazoezi kwa mara ya kwanza katika kikosi cha Argentina tangu alipotangaza kustaafu soka ya kimataifa baada ya Argentina kuboronga katika fainali za kombe la dunia za mwaka jana zilizofanyika nchini Russia.

    Messi amekosa mechi sita za kirafiki ambazo timu hiyo ilishinda nne na kutoka sare moja na kufungwa mchezo mmoja. Kocha wa Argentina Lionel Scaloni amesema ataamua kama atampanga Messi katika mechi moja au zote mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako