• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: James Harden aweka rekodi nyingine ligi ya mpira wa kikapu ya Marekani (NBA)

    (GMT+08:00) 2019-03-21 10:17:32

    James Harden ameendelea kufanya vizuri na kfanikiwa na timu yake ya Huston Rockets kuweka rekodi mbalimbali katika ligi ya kikapu ya Marekani inayojulikana kama NBA kutokana na kiwango chake kikubwa anachoendelea kukionyesha msimu huu.

    Harden amekuwa mchezaji wa kwanza wa ligi hiyo kuweka historia ya kufunga alama 30, na kutoa usaidizi yaani assists alama 10 na alama 8 za umaliziaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako