• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Netanyahu na Trump kukutana kwenye Ikulu ya Marekani wiki ijayo

    (GMT+08:00) 2019-03-21 10:44:59

    Maofisa wa Marekani na vyombo vya habari Israel vimesema rais Donald Trump wa Marekani atakutana na waziri mkuu wa Israel Bw. Benjamin Netanyahu katika Ikulu ya Marekani wiki ijayo. Viongozi hao watajadili maslahi ya pamoja ya nchi zao na hatua zinazochukuliwa katika eneo la Mashariki ya Kati katika mkutano wao utakaofanyika tarehe 25, Machi. Bw. Netanyahu anatafuta nafasi ya kuchaguliwa tena kwa muhula wa tano kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Aprili, 9.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako