• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais  wa China aondoka Beijing kuanza ziara yake nchini Itali, Monaco na ufaransa

    (GMT+08:00) 2019-03-21 16:09:47
    Rais Xi Jinping wa China leo ameondoka Beijing kuanza ziara yake nchini Itali, Monaco na Ufaransa.

    Rais Xi ameongozana na mke wake Bibi Peng Liyuan, pamoja na viongozi kadhaa wa ngazi ya juu akiwemo mjumbe wa ofisi ya siasa ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China, ambaye pia ni mkurugenzi wa ofisi ya kamati kuu Bw. Ding Xuexiang, mjumbe wa ofisi ya siasa ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China Bw. Yang Jiechi, waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi, na naibu mwenyekiti wa baraza la mashauriano ya kisiasa la China ambaye pia ni mkurugenzi wa kamati ya maendeleo na mageuzi ya China Bw. He Lifeng.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako