• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atoa salamu za pole kwa marais wa Msumbiji, Zimbabwe na Malawi kutokana maafa yaliyosababishwa na kimbunga Idai

    (GMT+08:00) 2019-03-21 18:44:56

    Rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za pole kwa rais Filipe Nyusi wa Msumbuji, rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe, na rais Peter Mutharika wa Malawi, kutokana na nchi zao kukumbwa na kimbunga Idai.

    Kwenye salamu hizo, rais Xi amesema kimbunga hicho kimesababisha vifo na majeruhi ya watu na hasara kubwa ya mali kaika nchi hizo tatu. Amesema kwa niaba ya serikali na watu wa China, anatoa salamu za rambirambi kwa familia za marehemu na pole kwa watu walioathiriwa na kimbunga hicho.

    Rais Xi amesema, anaamini kutokana na uongozi imara wa serikali, watu wa nchi hizo tatu watashinda maafa na kukarabati makazi yao mapema.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako