• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Sudan atoa amri ya dharura ya kupiga marufuku uhifadhi na ulanguzi wa sarafu za kitaifa

    (GMT+08:00) 2019-03-22 09:11:59

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan jana ametoa amri ya dharura ya kupiga marufuku uhifadhi na ulanguzi wa sarafu za kitaifa.

    Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Sudan imesema, amri hiyo inazuia vitendo cha ulanguzi wa sarafu ya taifa inayolenga kuvuruga uchumi wa taifa, au vitendo vya kuhifadhi fedha nje ya mfumo wa benki kwa ajili ya ulanguzi.

    Amri hiyo inapiga marufuku umiliki au uhifadhi wa sarafu za kitaifa zaidi ya paundi milioni 1 za Sudan kwa watu binafsi na paundi milioni 5 kwa kampuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako