• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana (AFCON U17)

    (GMT+08:00) 2019-03-22 09:24:21

    Makundi ya michuano ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 (U17) yamepangwa huku kundi A likiwa na timu za Tanzania, Angola, Nigeria na Uganda. Kundi B lina timu za Cameroon, Senegal, Morocco na Guinea.

    Fainali hizo zitaanza April 14 hadi 29 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Huku timu zitakazofuzu robo fainali zitacheza mashindano ya kombe la dunia kwa vijana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako