• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG latoa zawadi ya vitabu kwa Chuo cha "Vittorio Emanuele II" cha Roma

    (GMT+08:00) 2019-03-22 18:43:40

    Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG jana limetoa zawadi ya disk ya video na vitabu vya kichina kwa Chuo cha "Vittorio Emanuele II" cha Roma.

    Mkuu wa Shirika hilo Bw. Shen Haixiong amezungumza na walimu na wanafunzi wa chuo hicho na kusema, CMG inapenda kuunga mkono kuandaa kambi ya majira ya joto, na kutengeneza vipindi husika vya televisheni, ili kutoa jukwaa na njia kwa wanafunzi kujifunza lugha ya kichina na utamaduni wa China na kuzidisha maelewano kuhusu China ya sasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako