• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Kenya afunga akaunti zake kwenye mitandao ya kijamii akidai zimedukuliwa

    (GMT+08:00) 2019-03-22 18:55:29

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amefunga akaunti zake katika mitandao ya kijamii hii leo, akisema zimedukuliwa na watu wasiojulikana.

    Kabla ya kufunga akaunti hizo, rais Kenyatta aliweka ujumbe kwenye akaunti yake za Twitter na Facebook, akiahidi kupambana na maofisa mafisadi, akisema hatavumilia hata marafiki zake, ujumbe ambao ulipokelewa kwa hisia kali.

    Rais Kenyatta ameahidi kuongeza nguvu katika vita dhidi ya ufisadi wakati wa muhula wake wa pili na wa mwisho madarakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako