• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ziara ya rais Xi Jinping nchini Monaco ni muhimu katika historia ya Monaco

    (GMT+08:00) 2019-03-25 08:48:38

    Tarehe 24 mwezi Machi rais Xi Jinping wa China aliwasili huko Nice nchini Ufaransa na kupanda gari kwenda Monaco, akianza ziara yake nchini Monaco. Hii ni mara ya kwanza kwa rais wa China kutembea nchi hiyo.

    Gazeti la Monaco-Matin lilitoa habari likisema ziara hiyo ni muhimu katika historia ya Monaco, na majengo muhimu na mitaa mikubwa ya Monaco yalipambwa kwa bendera za Monaco na China.

    Magazeti ya Monaco Hebdo yalihoji wataalamu kuhusu kuleta fursa kwa ushirikiano kati ya nchi hizo mbili kupitia ziara ya rais Xi Jinping.

    Televisheni ya taifa cha Monaco ilitangaza sherehe ya kumpokea rais Xi Jinping na kuwa marais wa nchi hizo mbili walijadiliana masuala yanayohusu pande hizo mbili yakiwemo uchumi, michezo, utamaduni na uhifadhi wa mazingira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako