• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Palestina amaliza mazungumzo ya kuunda serikali ya umoja

    (GMT+08:00) 2019-03-25 08:48:41

    Waziri mkuu wa Palestina Bw. Mohammad Ishtaye ametangaza kuwa amemaliza mazungumzo na Chama cha PLO kuhusu uundaji wa serikali ya umoja.

    Amesema mazungumzo yamefanyika kwa muda wa wiki mbili, na mbali na PLO pia amefanya mikutano na wajumbe wa mashirikisho ya umma, sekta binafsi na mabaraza ya madiwani. Ameongeza kuwa mazungumzo yamefanyika katika hali chanya, na sasa anasubiri majibu ya makundi mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako