• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wafungwa wa Hamas wawajeruhi askari jela wa Israel

    (GMT+08:00) 2019-03-25 08:49:08

    Wafungwa wa Kundi la Hamas la Palestina wameshambulia askari wa Israel kwenye gereza la Ktzi'ot kusini mwa Israel, na kuwajeruhi wawili kwa kuwachoma kwa kisu.

    Wiki iliyopita wafungwa hao walichoma moto magodoro yao ili kupinga gereza hilo kukatiwa mawasiliano yao ya simu na nje. Kutokana na takwimu zilizotolewa na serikali, jumla ya wapalestina 6,000 wanashikiliwa katika magereza ya Israel.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako