• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Ufaransa wakutana na kufanya mazungumzo

    (GMT+08:00) 2019-03-25 09:24:33

    Rais Xi Jinping wa China jana alikutana na mwenzake wa Ufaransa Bw. Emmanuel Macron mjini Nice. Rais Xi amesema kwa sasa hali ya kimataifa na uhusiano kati ya China na Ufaransa imebadilika sana, lakini kuna mambo kadhaa ambayo bado hayajabadilika. Kwanza, ni China kutilia maanani uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Pili, hali ya kujipatia kwa pamoja amani, maendeleo, haki na usawa ya China na Ufaransa haijabadilika. Tatu, ushirikiano wa kunufaishana kati ya China na Ufaransa pia haujabadilika.

    Rais Xi amesema, pande mbili zinapaswa kuendelea kupanua ushirikiano, kuhimiza ushirikiano wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kutekelezwa mapema.

    Rais Macaron amesema, Ufaransa inapenda kuimarisha mawasiliano na ushirikiano na China, kufanya umuhimu wa uongozaji wa uhusiano wa kiwenzi na kimkakati kwa pande zote kati ya Ufaransa na China, kulinda utaratibu wa pande nyingi na kuhimiza amani na ustawi wa dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako