• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Wana wa Afrika Mashariki waonyesha sasa wameamua.

    (GMT+08:00) 2019-03-25 10:13:35
    Achana na michuano ya kufuzu mataifa ya Afrika AFCON mapambano mawili makubwa ya masumbwi ama unawezakuita ndondi yalikuwa juzi jijini Nairobi Kenya wana wa Afrika Mashariki, Tanzania ikiwakilishwa na bondia mtanzania Hassan Mwakinyo n Kenya ikiwakilishwa na Iron First Zarika Fatuma.

    Mwakinyo amemaliza kilichompeleka Kenya kwa kupambana na bondia wa Argentina Sergio Gonzalez ambapo mtanzania huyu amechukua ushindi kwa kumpiga Sergio kwa K.O kwenye round ya 5 ya mchezo.

    Pambano hilo lisilo la ubingwa, lililopigwa kwenye ukumbi wa KICC jijini Nairobi Kenya.

    Kwa upande wa wanawake, Iron First wa Kenya Zarika Fatuma ametetea taji lake la ubingwa wa Super Bantam alipomchakaza bondia toka Zambia Catherine Phiri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako